BARAKA ZA MUNGU
 Watoto wa kituo cha Help for the Maasai kilichopo kwa Mrefu mkoani Arusha walipata zawadi mbalimbali kwaajili ya siku Kuu ya Iddi.
 Mbunge
 wa Viti Maalum (CCM) Arusha na Mkurugenzi wa Taasisi ya Catherine 
Foundation, Catherine Magige akiwa katika picha na watoto mara baada ya 
kutoa msaada wa vyakula na vitu vingine mbalimbali kituo cha Help for the Maasai kilichopo kwa Mrefu mkoani Arusha leo.


Comments
Post a Comment