WALEMAVU WANA HAKI YA KUPATA ELIMU



Wasiojiweza katika nchi hii wanachohitaji sana ni nafasi ya kushiriki kwa ukamilifu na kwa usawa katika mambo ya nchi yao.”
Mwl. J.K.Nyerere

Haki ya elimu ni haki ya kila mmoja, haijalishi tofauti tulizonazo. Watoto walemavu ni kundi lililosahaurika sana katika jamii kuhusiana na haki yao ya msingi ya kupata elimu. Ulemavu si kutokuweza, watoto hawa wana nafasi ya kufanya vizuri katika masomo kama watoto wasio na ulemavu. 

MAPENDEKEZO KWA JAMII NA SERIKALI 
  • Kuboresha elimu kwa watoto wenye ulemavu na mahitaji maalumu. 
  • Kuhakikisha wanaandikishwa na kumaliza elimu ya msingi na sekondari.
  • Upatikanaji wa vifaa, nyenzo na mazingira wezeshi kwa ajili ya kufundisha na kujifunza watoto wenye ulemavu na mahitaji maalumu.
  • Kuhakikisha kila shule ina mwalimu mmoja aliyesomea mafunzo ya elimu jumuishi na mahitaji maalumu kwa wenye ulemavu.


Comments


  1. 1-38 of 38

    Nashukuru sana kaka, naamini mitazamo kama hii kila mtu akiwa nayo na kuiamini jamii yetu ingekuwa na maendeleo makubwa sana. Tuzidi kutoa elimu kwa jamii naamini ipo siku mawazo yetu watayaelewa na kuyaishi. on WALEMAVU WANA HAKI YA KUPATA ELIMU

    sanji james

    at 8:58 PM

    Asante Kaka. Kila mmoja ni mlemavu Ila tunazidiana viwango tu. Napia tukumbuke kuwa kabla hujafa hujaumbika. Nani alijua mudhihili angekua na mkono bandia. on WALEMAVU WANA HAKI YA KUPATA ELIMU

    specialist teacher

    at 11:57 AM

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nashukuru sana kaka, naamini mitazamo kama hii kila mtu akiwa nayo na kuiamini jamii yetu ingekuwa na maendeleo makubwa sana. Tuzidi kutoa elimu kwa jamii naamini ipo siku mawazo yetu watayaelewa na kuyaishi. on WALEMAVU WANA HAKI YA KUPATA ELIMU

      Delete

Post a Comment

Popular posts from this blog

WATOTO WA MITAANI NA JINSI YA KUWASAIDIA

AYA ZA BIBLIA KUHUSU WATU WENYE ULEMAVU

TUWAKUMBUKE WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO KAMA KUNDI MAALUM KATIKA JAMII ZETU