ADHA YA MAISHA KWA WATOTO WA MITAANI







Photo: Ivi ili ni taifa lakesho au la mateso? 
Hawa ni watoto waliokata tamaa na maisha hapa duniani. Pembeni ni watoto na nguo zao za shule na mabegi mgongoni. Kwa kawaida kwa upande wa watoto hawa waliolala chini wasioijua kesho yao kwao maisha ya dunia hii wanaona hayana maana. Ila mimi naamini bado wana nafasi katika dunia hii kama kila mwana jamii atalichukulia tatizo hili kwa namna ya pekee na kuwasaidia hawa watoto kwa jinsi atakavyoguswa. Tuguswe na tatizo la hawa watoto na Mungu atatutulipa kadri ya wema wetu.

Comments

Popular posts from this blog

WATOTO WA MITAANI NA JINSI YA KUWASAIDIA

AYA ZA BIBLIA KUHUSU WATU WENYE ULEMAVU

TUWAKUMBUKE WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO KAMA KUNDI MAALUM KATIKA JAMII ZETU