ULEMAVU SI KUTOKUWEZA.

KAMA UNADHANI WEWE UNA BAHATI MBAYA SANA ANGALIA HAPA

Nick Vijicic alizaliwa bila mikono wala miguu, ila mambo anayoyafanya amewazidi wengi walizaliwa na mwili uliokamilika. Hii inaonesha ni jinsi gani akili ya binadamu isivyokuwa na kikomo na yeyote anaeamua kufanya jambo anaweza kulifanya. Hakuna anaeweza kukuzuia ila wewe mwenyewe. Nick VujicicNick Vujicic3
Nick ana msemo wake anakuambia UKIMUONA KWA MARA YA KWANZA UTAMUONEA HURUMA, ILA UKIYAJUA MAISHA YAKE UTAJIONEA HURUMA MWENYEWE.

Comments

Popular posts from this blog

WATOTO WA MITAANI NA JINSI YA KUWASAIDIA

AYA ZA BIBLIA KUHUSU WATU WENYE ULEMAVU

TUWAKUMBUKE WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO KAMA KUNDI MAALUM KATIKA JAMII ZETU