MFANO KWA MAKAMPUNI MENGINE, MASHIRIKA BINAFSI NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA.
VODACOM WATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA AKILI MJINI MOSHI
Mkuu
wa Vodacom Foundation Bw.Yessaya Mwakifulefule( kulia) akiongea na
motto mwenye ulemavu wa akili Elihuruma Shirima wa kituo cha KKKT
Usharika wa Longuo Mjini Moshi wakati wafanyakazi wa Vodacom kanda ya
kaskazini walipotembelea kituo hicho na kukabidhi msaada wa vyakula na
vitu mbalimbali vyenye thamani ya shilingi Milioni 1.5 kupitia kampeni
ya Pamoja na Vodacom.
Mtoto mwenye ulemavu wa akili anaelelewa kwenye kituo cha KKKT Usharika wa Longuo Mjini Moshi Miriam Shayo akionesha umahiri wake wa kucheza kwa mbele ya wafanyakazi wa Vodacom walipotembelea kituo hicho na kutoa msaada wa vyakula na vitu mbalimbali vyenye thamani ya shilingi Milioni 1.5 ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya Pamoja na Vodacom ya kusaidia watu wenye uhitaji maalum.
Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kaskazini Bw. Philemon Chacha akifanya mahojiano na kituo cha Televisheni cha Super Sport Mjini Moshi muda mfupi baada ya wafanyakazi wa Vodacom kutembelea kituo cha kulelea watoto wenye ulemavu wa akili cha KKKT usharika wa Longuo Mjini Moshi. Vodacom Kanda ya Kaskazini imekabidhi msaaada wa vitu mbalimbali vyenye thamani ya shilingi Milioni 1.5 ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya Pamoja na Vodacom.
004&005. Mkuu wa Vodacom kanda ya kaskazini Bw. Philemon Chacha akigawa madaftari kwa baadhi ya watoto wenye ulemavu wa akili wa kituo cha KKKT usharika wa Longuo Mjini Moshi ikiwa ni sehemu ya zawadi mbalimbali kutoka kwa wafanyakazi wa Vodacom Kanda ya Kaskazini vyenye thamani ya shilingi Milioni 1.5 ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya Pamoja na Vodacom.
Mkurugenzi wa mradi wa kituo cha kulelea watoto wenye ulemavu wa akili cha KKKT usharika wa Longuo Mjini Moshi Bw. Elirehema Kaaya,akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kupokea msaada wa vyakula na vitu mbalimbali vyenye thamani ya shilingi Milioni 1.5 kutoka kwa wafanyakazi wa Vodacom Kanda ya Kaskazini ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya pamoja na Vodacom.
Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kaskazini Philemon Chacha akifuatilia kwa karibu mtoto mwenye ulemavu wa akili Gloria Isack anavyoandika jina lake kwa ufasaha. Wafanyakazi wa Vodacom kanda ya Kaskazini walitembelea kituo hicho na kukabidhi vifaa mbalimbali vyenye thamani ya Shilingi Milioni Moja Na Nusu ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya Pamoja na Vodacom inayosaidia makundi yenye mahitaji maalum.
Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kaskazini Philemon Chacha akifuatilia kwa karibu mtoto mwenye ulemavu wa akili Arnold Justine anavyoandika jina lake kwa ufasaha huku motto mwenzie Gloria Isaack nae akishuhudia. Wafanyakazi wa Vodacom kanda ya Kaskazini walitembelea kituo hicho na kukabidhi vifaa mbalimbali vyenye thamani ya Shilingi Milioni Moja na Nusu ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya Pamoja na Vodacom inayosaidia makundi yenye mahitaji maalum.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja katika kituo cha kulelea watoto wenye ulemavu wa akili cha KKKT usharika wa Longuo Mjini Moshi walipotembela kituoni hapo na kukabidhi msaada wa vyakula, vifaa vya shule na vitu vingine mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni 1.5 katika kituo hicho ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya Pamoja na Vodacom.

Comments
Post a Comment