Posts

DISABILITY IS NOT INABILITY

Disability means any physical or mental condition that restricts your movements, senses and activities. Disability means any physical or mental disadvantage or handicap. A person may have a handicap from birth or it might be the result of any fatal accident or mishap that a person encounters during his or her lifetime. Disability breaks down the spirit of many. But, disabled people can also attain success if they have belief in their potentials and persevere towards their goal. Helen Keller was blind, but she never led this disability come in her way. In the words of Martina Navratilova, “Disability is a matter of perception. If you can just do one thing well, you are needed by someone.” Disabled people should never be looked down upon by others. They have the ability to realize their dreams and ambitions, like any other human being. As Martina Navratilova said, disability is how you consider it. Being a purely relative term, disability is no hurdle in the path of any determined ...
  "Disability is natural. We must stop believing that disabilities keep a person from doing something. Because that's not true . . . Having a disability doesn't stop me from doing anything." --Benjamin Snow, Grade 8, Woodland Park, Colorado, in an essay entitled "Attitudes About People with Disabilities" (Jan 19)

FACT

“Being disabled should not mean being disqualified from having access to every aspect of life. -- Emma Thompson

MTOTO MLEMAVU AFICHWA NDANI KWA MIAKA 12

Image
Leba  akiwa na mama yake. Picha na Habel Chidawali  Na Habel Chidawali,Mwananchi Ni umbali wa kilomita saba kutoka katikati ya Mji wa Dodoma upande wa Mashariki barabara iendayo Morogoro, kipo kijiji maarufu cha Nzuguni. Miaka ya hivi karibuni kijiji hiki kimevuma katika vyombo mbalimbali vya habari kutokana na mambo makubwa matatu. Mosi ni eneo la Maonyesho ya Siku kuu ya wakulima Nane Nane na pili eneo lililovuma kwa machimbo ya dhahabu lakini pia ndipo yanapojengwa majengo ya Chuo Kikuu cha Polisi. Pamoja na ukaribu wake na umaarufu huo ukiachia mbali kuzungukwa na eneo la Mradi wa Ujenzi wa Uwanja Mkubwa wa ndege, na mradi wa Chuo cha Biashara, ndani ya kijiji hicho kuna vituko na wakati mwingine ni mikasa isiyoelezeka. Wapo wanaofurahia maisha, lakini wapo ambao hawajui na hawana matumaini wakati wote, wapo mradi wapo. Katika Mtaa wa maarufu wa Mapinduzi iko familia ambayo wakati mwingine kwa mtu wa kawaida unaweza usiamini simulizi yake lakini ni ukw...

UKOSEFU WA SHULE ZA WATOTO WENYE ULEMAVU WA KUSIKIA JIJINI ARUSHA WASABABISHA WATOTO 200 KUKOSA ELIMU YA MSINGI KWA KILA MWAKA.

Image
Na Gladness Mushi, Arusha IMEELEZWA zaidi ya watoto 200 wenye ulemavu wa kusikia katika mkoa wa Arusha wanashindwa kwenda mashuleni kila mwaka kutokana na ukosefu wa shule maalumu za watoto wenye ulemavu wa kusikia lakini pia uhaba wa walimu. Hayo yameelezwa na Bi rafiki Msafiri ambaye ni katibu wa chama cha viziwi mkoa wa Arusha(CHAVITA) wakati akiongea na wadau wa chama hicho kuhusiana na mapendekezo yao kwenye mchakato wa rasimu ya katiba mpya. Bi Rafiki alisema kuwa idadi hiyo ya watoto wenye ulemavu wa kusikia inatokana na changamoto mbalimbali za kijamii ambazo bado hazijatekelezwa hali ambayo inaongeza watoto wasiojua kusoma na kuandika kwa mkoa wa Arusha kwa visingizo kuwa ni walemavu Alifafanua kuwa kwa mkoa wa Arsuha shule zenye vitengo vya watoti wenye ulamabu wa kusikia ni chache kuhu kutokana na uchache huo unasababisha watoto kumi tu wachukuliwe kila mwaka tofauti na idadi ya watoto 200 wanaohi...
Image
Baraza la watoto wenye ulemavu kutembelea shule Katavi, Rukwa  Baraza la watoto wenye ulemavu kutoka mikoa ya Rukwa na Katavi limeanza kutekeleza mpango wa kuwatembelea wanafunzi wenzao wasiokuwa na ulemavu katika shule za msingi za mikoa hiyo ili kuwashirikisha juu ya mahitaji na haki sawa katika masuala yanayohusu haki za watoto. Mwenyekiti wa baraza hilo bw. Abisai Joackim amesema mpango huo unalenga kuwajengea uwezo na hamasa juu ya elimu shirikishi watoto wenye ulemavu wanaosoma katika shule za msingi na sekondari katika wilaya za Sumbawanga Nkasi na Mpanda. Mkutano wa pamoja kati ya wajumbe wa baraza hilo na wanafunzi wasiokuwa na ulemavu wa shule ya msingi ya Kiwelu iliopo katika halmashauri ya manispaa ya Sumbawanga umeonyesha ari na nia ya kweli ya kupatikana kwa hamasa kwa jamii juu ya elimu shirikishi. Watoto wenye ulemavu kutoka baraza hilo linalodhaminiwa na kanisa la Free Pentocost Church of Tanzania-FPTC-wakiwa na nafasi ya kuwaelezea wenzao wasiokuwa ...

HAKI ZA BINADAMU NA ULEMAVU KIKATIBA

2:34 AM Posted by Disability in Tanzania HAKI ZA BINADAMU NA ULEMAVU KIKATIBA   KUTANZUA ULEMAVU KUPITIA MCHAKATO WA KATIBA YA ZAMANI NA KUINGIZA KATIKA KATIBA MPYA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUTANZUA ULEMAVU KUPITIA MCHAKATO WA KATIBA YA ZAMANI NA KUINGIZA KATIKA KATIBA (SOLUTIONS   ON   DISABILITY BARRIERS) HAKI ZA BINADAMU KWA WATU WENYE ULEMAVU KIKATIBA Utangulizi Kwa muda mrefu sasa watu wenye ulemavu (wwu)   nchini wamekuwa wakinyanyaswa na kunyimwa haki zao za ajira, elimu, afya na utengamao wa maisha yao. Mfumo wa sheria umechelewa sana kwani baada ya miaka 50 tangu kupata uhuru watu wenye ulemavu ndiyo wamefanikiwa kushawishi kutungwa kwa sheria namba 9 ya 2010 inayohusu Haki na ulinzi kwa watu wenye ulemavu (WWU)Tanzania. Haki za watu wenye ulemavu zinatokana na msingi wa kikatiba kama ilivyo makundi mengine katika jamii. Kipengele cha Haki ya usawa, Ibara ya 13 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ...