SIKU YA KIMATAIFA YA WALEMAVU DUNIANI TAREHE 3 DECEMBER

Kila tarehe 3 December ni siku ya Kimataifa ya walemavu Duniani, inasemekana kuwa zaidi ya asilimia 15 ya Idadi ya watu duniani ni walemavu ndo maana Umoja wa Mataifa (UN) walitenga siku hii kwa ajili yao. 

Tuadhimishe Siku ya Walemavu kwa kutambua umuhimu wa walemavu katika familia na jamii zetu, tuwaheshimu,tuwapende kama watu wengine.

Comments

Popular posts from this blog

WATOTO WA MITAANI NA JINSI YA KUWASAIDIA

AYA ZA BIBLIA KUHUSU WATU WENYE ULEMAVU

TUWAKUMBUKE WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO KAMA KUNDI MAALUM KATIKA JAMII ZETU