UBAGUZI KWA WALEMAVU
Suala la ulemavu
linavyotazamwa katika jamii mbalimbali barani Afrika, wengi wanautazama Ulemavu
kama laana au mkosi katika familia na kuna wanaoenda mbali zaidi na kuhusisha
ulemavu na imani potofu za kishirikina. Jambo la muhimu kwa jamii zetu za
Kiafrika ni kubadili mtazamo juu ya Ulemavu na Walemavu kwa ujumla na kutambua thamani
ya walemavu kuwa ni watu sawa na wengine na wala wasibaguliwe kwani ulemavu sio
laana. Tusimame Imara kupinga na UBAGUZI dhidi ya Walemavu.
Comments
Post a Comment