HALI MBAYA

WATOTO WA MITAANI WAGUNDUA AJIRA KATIKA MIJI MBALIMBALI, WASAFISHA VIOO VYA MAGARI NA KUOMBA PESA KWA KAZI HIYO

MTOTO AMBAE JINA LAKE HALIKUPATIKANA AKIOSHA KIOO CHA GARI LILILOKUWA LIKISUBIRI KURUHUSIWA KUPITA KATIKA MATAA YA MIANZINI. WATOTO HAO HUSAFISHA VIOO NA KUOMBA PESA KWA MADEREVA

HAPA KIJANA ALIYEKUWA AKIOSHA GARI AKIONEKANA AKIOMBA UJIRA WAKE BAADA YA KUMALIZA YA KUSAFISHA KIOO, HATA HIVYO HULAZIMISHA KUFANYA SHUGHULI HIYO BILA MAKUBALIANO YOYOTE.

Comments

Popular posts from this blog

WATOTO WA MITAANI NA JINSI YA KUWASAIDIA

AYA ZA BIBLIA KUHUSU WATU WENYE ULEMAVU

TUWAKUMBUKE WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO KAMA KUNDI MAALUM KATIKA JAMII ZETU