JAMII NCHINI IMEOMBWA KURUDISHA KIASI KIDOGO CHA PATO LAO KWA WATOTO YATIMA
Jamii nchini imeombwa kurudisha kiasi kidogo cha pato lao kwa
watoto yatima na wale wanaoishi kwenye mazingira magumu ili kuwezesha
kupata haki zao za msingi ikiwemo elimu na afya bora kama ilivyo kwa
watoto wengine. Kwa kutambua changamoto wanazokabiliana nazo walezi na
watoto wanaolewa katika vituo hivyo, Mkurugenzi wa Kampuni ya Naef
General Trading NGT, Khadija Naef Al Yafel amekitembelea kituo cha
watoto yatima cha UMRA kilichopo jijini Dar es salaam na kukabiliana
misaada mbalimbali.
Comments
Post a Comment